1 Nyakati 1:29
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: 2 Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These are their generations: The firstborn of Ishmael, Nebaioth; then Kedar, and Adbeel, and Mibsam,
In Context
28Abrahamu alikuwa na wana wawili: 2 Isaki na Ishmaeli. 2 Wazao Wa Hagari (Mwanzo 25:12-16) 1
30Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema,
Cross References
Genesis 25:12Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli mtoto wa Abrahamu, ambaye mjakazi wake Sara, Hagari Mmisri, alimzalia Abrahamu.
Psalms 120:4Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, 2 kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu. 1
Isaiah 21:17Wanaume wavutao pinde walionusurika, mashujaa wa Kedari, watakuwa wachache.” Bwana, Mungu wa Israeli, amesema.