1 Nyakati 1:9
Wana wa Kushi walikuwa: 2 Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. 1 Wana wa Raama walikuwa: 2 Sheba na Dedani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 1:8 Yaani Misri. Putu na Kanaani. 1
10Kushi akamzaa 2 Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi. 1
Cross References
Ezekiel 27:15“ ‘Watu wa Dedani + 27:15 Yaani Rhodes . walifanya biashara nawe, watu wengi wa nchi za pwani walikuwa wachuuzi wako, walikulipa kwa pembe za ndovu na mpingo.