bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 11 › 1 Nyakati 11:25
1 Nyakati 11:25
Yeye aliheshimiwa zaidi ya wale Thelathini, lakini hakujumuishwa miongoni mwa wale Watatu: Daudi akamweka kuwa kiongozi wa walinzi wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, he was honourable among the thirty, but attained not to the first three: and David set him over his guard.
In Context
24Haya yalikuwa mambo ya ushujaa ya Benaya mwana wa Yehoyada; naye pia alikuwa maarufu kama wale mashujaa watatu.
26Wale watu mashujaa walikuwa: 2 Asaheli nduguye Yoabu, 2 Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu, 2
Read all of 1 Nyakati 11
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 11:25