1 Nyakati 11:29
Sibekai Mhushathi, 2 Ilai Mwahohi, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Sibbecai the Hushathite, Ilai the Ahohite,
In Context
28Ira mwana wa Ikeshi kutoka Tekoa, 2 Abiezeri kutoka Anathothi, 2
30Maharai Mnetofathi, 2 Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi, 2
Cross References
2 Samuel 21:18Baada ya muda, kukawa na vita nyingine na Wafilisti, huko Gobu. Wakati huo Sibekai, Mhushathi, akamuua Safu, mmoja wa wazao wa Warefai.
1 Chronicles 27:11Jemadari wa nane kwa mwezi wa nane, alikuwa Sibekai Mhushathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1