bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 11 › 1 Nyakati 11:7
1 Nyakati 11:7
Daudi akafanya makao yake kwenye ngome, hivyo ukaitwa Mji wa Daudi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And David dwelt in the castle; therefore they called it the city of David.
In Context
6Daudi alikuwa amesema, “Yeyote aongozaye mashambulizi dhidi ya Wayebusi, atakuwa jemadari mkuu.” Yoabu mwana wa Seruya akawa wa kwanza kukwea, naye akawa mkuu.
8Akajenga mji pande zote, kuanzia kwenye mito hadi kwenye ukuta kuzunguka, wakati huo huo Yoabu akajenga sehemu zingine zilizobaki za Yerusalemu.
Read all of 1 Nyakati 11
Cross References
1 Chronicles 11:5wakamwambia Daudi, “Wewe hutaingia humu.” Hata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi.
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 11:7