bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 12 › 1 Nyakati 12:19
1 Nyakati 12:19
Baadhi ya watu kutoka kabila la Manase wakajiunga na Daudi wakati alikwenda pamoja na Wafilisti, kupigana na Sauli. (Daudi na watu wake hawakuwasaidia Wafilisti kwa sababu, baada ya ushauri, watawala wao walimrudisha. Wakasema, “Itatugharimu vichwa vyetu kama Daudi atatuasi na kurudi kwa Sauli bwana wake.”)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there fell some of Manasseh to David, when he came with the Philistines against Saul to battle: but they helped them not: for the lords of the Philistines upon advisement sent him away, saying, He will fall to his master Saul to the jeopardy of our heads.
In Context
18Kisha Roho akaja juu ya Amasai, mkuu wa wale Thelathini, naye akasema: 1 “Sisi tu watu wako, ee Daudi! 2 Nasi tuko pamoja na wewe, ee mwana wa Yese! 1 Ushindi, naam, ushindi uwe kwako, 2 pia ushindi kwa wale walio upande wako, 3 kwa kuwa Mungu wako atakusaidia.” Kwa hiyo Daudi akawapokea na kuwafanya viongozi wa vikosi vyake vya uvamizi.
20Daudi alipokwenda Siklagi, hawa ndio watu wa kabila la Manase waliojiunga naye: Adna, Yozabadi, Yediaeli, Mikaeli, Yozabadi, Elihu na Silethai, viongozi wa vikosi vya watu 1,000 katika kabila la Manase.
Read all of 1 Nyakati 12
Cross References
Judges 6:34Ndipo Roho wa Bwana akamjia Gideoni, akapiga tarumbeta, akiwaita Waabiezeri ili wamfuate.
1 Samuel 29:10Sasa amka mapema, pamoja na watumishi wa bwana wako waliofuatana nawe, nanyi ondokeni asubuhi mara kutakapopambazuka.”
Zechariah 8:2Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Nina wivu sana kwa ajili ya Sayuni, ninawaka wivu kwa ajili yake.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 12:19