bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 12 › 1 Chronicles 12:21
1 Chronicles 12:21
Walimsaidia Daudi dhidi ya makundi ya uvamizi, kwa kuwa wote walikuwa mashujaa hodari na walikuwa majemadari katika jeshi lake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they helped David against the band of the rovers: for they were all mighty men of valour, and were captains in the host.
In Context
20Daudi alipokwenda Siklagi, hawa ndio watu wa kabila la Manase waliojiunga naye: Adna, Yozabadi, Yediaeli, Mikaeli, Yozabadi, Elihu na Silethai, viongozi wa vikosi vya watu 1,000 katika kabila la Manase.
22Siku baada ya siku watu walikuja kumsaidia Daudi, mpaka akawa na jeshi kubwa, kama jeshi la Mungu. 1 Wengine Waungana Na Daudi Huko Hebroni
Read all of 1 Chronicles 12
Cross References
1 Chronicles 5:24Hawa ndio waliokuwa viongozi wa jamaa za kabila hilo: Eferi, Ishi, Elieli, Azrieli, Yeremia, Hodavia na Yahdieli. Walikuwa askari shujaa watu maarufu, viongozi wa jamaa zao.
1 Chronicles 11:21Alitunukiwa heshima maradufu ya wale Watatu, akawa jemadari wao, ingawa hakuhesabiwa miongoni mwao.
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 12:21