1 Nyakati 12:36
Watu wa Asheri, askari 40,000 wenye uzoefu mkubwa waliondaliwa kwa ajili ya vita. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And of Asher, such as went forth to battle, expert in war, forty thousand.
In Context
35Watu wa Dani 28,600 waliokuwa tayari kwa vita. 1
Cross References
1 Chronicles 12:33Watu wa Zabuloni, askari wenye uzoefu mkubwa walioandaliwa tayari kwa vita wakiwa na silaha za kila aina, ili kumsaidia Daudi kwa uaminifu thabiti, walikuwa 50,000. 1