1 Nyakati 12:4
na Ishmaya Mgibeoni, shujaa miongoni mwa wale Thelathini, ambaye alikuwa kiongozi wa wale Thelathini; Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi, Mgederathi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Eluzai, Yeremothi, Bealia, Shemaria, Shefatia, Mharufi;
Cross References
Joshua 9:3Hata hivyo, watu wa Gibeoni waliposikia juu ya hayo yote Yoshua aliyowatendea watu wa Yeriko na Ai,
Joshua 15:36Shaaraimu, Adithaimu na Gedera (au Gederothaimu); yote ni miji kumi na minne, pamoja na vijiji vyake. 1