1 Nyakati 15:19
Waimbaji Hemani, Asafu na Ethani walichaguliwa kupiga matoazi ya shaba;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So the singers, Heman, Asaph, and Ethan, were appointed to sound with cymbals of brass;
In Context
Cross References
1 Chronicles 15:16Daudi akawaambia viongozi wa Walawi kuwaweka ndugu zao waimbaji ili waimbe nyimbo za shangwe, wakiwa na vyombo vya uimbaji: zeze, vinubi na matoazi.
1 Chronicles 16:42Hemani na Yeduthuni walikuwa na wajibu wa kupiga tarumbeta, matoazi na kutumia vyombo vingine kwa ajili ya nyimbo za sifa kwa Mungu. Wana wa Yeduthuni waliwekwa langoni.
1 Chronicles 25:6Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la Bwana wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme.
2 Chronicles 20:19Ndipo baadhi ya Walawi kutoka kwa Wakohathi na kwa wana wa Kora wakasimama na kumsifu Bwana, Mungu wa Israeli, kwa sauti kuu sana.
Psalms 150:5msifuni kwa matoazi yaliayo, 2 msifuni kwa matoazi yavumayo sana. 1