1 Chronicles 15:21
na Matithia, Elifelehu, Mikneya, Obed-Edomu, Yehieli na Azazia walikuwa wapiga vinubi, wakiongozwa kwa kufuata sauti ya sheminithi. + 15:21 Huenda ni aina ya uimbaji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 15:18hawa ndio waliochaguliwa kuwa wasaidizi wao: Zekaria, Yaazieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Benaya, Maaseya, Matithia, Elifelehu, Mikneya, pamoja na mabawabu Obed-Edomu na Yehieli.
1 Chronicles 25:6Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la Bwana wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme.
Psalms 12:1Bwana tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka; 2 waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu. 1
Psalms 81:1Mwimbieni kwa furaha, Mungu aliye nguvu yetu; 2 mpigieni kelele za shangwe Mungu wa Yakobo! 1
Psalms 150:3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, 2 msifuni kwa kinubi na zeze, 1