1 Nyakati 15:28
Hivyo Israeli wote wakalipandisha Sanduku la Agano la Bwana kwa shangwe, wakipiga pembe za kondoo dume, tarumbeta, matoazi, wakipiga zeze na vinubi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 13:8Daudi pamoja na Waisraeli wote walikuwa wanasifu kwa nguvu zao zote mbele za Mungu, kwa nyimbo na kwa vinubi, zeze, matari, matoazi na tarumbeta.
1 Chronicles 25:1Daudi, pamoja na majemadari wa jeshi, wakawatenga baadhi ya wana wa Asafu, wana wa Hemani na wana wa Yeduthuni, kwa ajili ya huduma ya kutoa unabii, wakitumia vinubi, zeze na matoazi. Hii ndiyo orodha ya watu waliofanya huduma hii: 1
Ezra 3:10Wajenzi walipoweka msingi wa Hekalu la Bwana, makuhani wakiwa wamevalia mavazi yao wakiwa na tarumbeta na Walawi (wana wa Asafu) wakiwa na matoazi, walishika nafasi zao za kumtukuza Bwana, kama ilivyoagizwa na Daudi mfalme wa Israeli.
Psalms 47:6Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa, 2 mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa. 1
Psalms 98:4Mpigieni Bwana kelele za shangwe, dunia yote, 2 ipaze sauti kwa nyimbo za shangwe na vinanda; 1
Psalms 150:3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, 2 msifuni kwa kinubi na zeze, 1