1 Nyakati 17:20
“Hakuna aliye kama wewe, Ee Bwana Mungu, wala hakuna Mungu ila wewe, kama vile tulivyosikia kwa masikio yetu wenyewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 18:11Sasa najua ya kuwa Bwana ni mkuu kuliko miungu mingine yote, kwa kuwa amewatendea hivi wale waliowatenda Israeli kwa ujeuri.”
Deuteronomy 4:35Mlionyeshwa mambo haya ili mpate kujua kuwa Bwana ndiye Mungu; hakuna mwingine ila yeye.
Deuteronomy 33:26“Hakuna mwingine kama Mungu wa Yeshuruni, 2 ambaye hupanda juu ya mbingu ili akusaidie, 2 na juu ya mawingu katika utukufu wake. 1
Psalms 44:1Ee Mungu, tumesikia kwa masikio yetu, 2 baba zetu wametueleza 1 yale uliyotenda katika siku zao, 2 siku za kale. 1
Psalms 86:8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, 2 hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 1
Psalms 89:8Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 ni nani aliye kama wewe? 1 Ee Bwana, wewe ni mwenye nguvu, 2 na uaminifu wako unakuzunguka. 1