bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 18 › 1 Nyakati 18:9
1 Nyakati 18:9
Tou mfalme wa Hamathi aliposikia kwamba Daudi amelishinda jeshi lote la Hadadezeri mfalme wa Soba,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now when Tou king of Hamath heard how David had smitten all the host of Hadarezer king of Zobah;
In Context
8Kutoka miji ya Tibhathi na Kuni, iliyokuwa miji ya Hadadezeri, Daudi akatwaa shaba nyingi sana, ambayo Solomoni aliitumia kutengenezea ile Bahari ya shaba, zile nguzo na vifaa mbalimbali vya shaba.
10akamtuma mwanawe, Hadoramu kwa Mfalme Daudi ili kumsalimu na kumpongeza kwa ushindi wake katika vita dhidi ya Mfalme Hadadezeri, kwa kuwa alikuwa amepigana vita mara nyingi na Tou. Hadoramu akamletea Daudi vifaa mbalimbali vya dhahabu, fedha na shaba.
Read all of 1 Nyakati 18
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 18:9