1 Chronicles 2:13
Yese akawazaa 2 Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea, + 2:13 Au: Shima, maana yake Sifa njema (pia 1Sam 16:9; 17:13 ).
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesse begat his firstborn Eliab, and Abinadab the second, and Shimma the third,
In Context
12Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese. 1
14wa nne Nethaneli, wa tano Radai,
Cross References
1 Samuel 16:8Kisha Yese akamwita Abinadabu na kumpitisha mbele ya Samweli. Lakini Samweli akasema, “Hata huyu Bwana hakumchagua.”
1 Samuel 17:12Basi Daudi alikuwa mwana wa Mwefrathi jina lake Yese aliyekuwa ametoka Bethlehemu ya Yuda. Yese alikuwa na wana wanane, naye wakati wa Sauli alikuwa mzee tena wa umri mkubwa.
1 Samuel 17:28Eliabu nduguye mkubwa Daudi alipomsikia akizungumza na watu hasira ikawaka juu yake akamuuliza, “Kwa nini umeteremka kuja hapa? Nao wale kondoo wachache kule nyikani umewaacha na nani? Ninajua jinsi ulivyo na kiburi na jinsi moyo wako ulivyo mwovu; umekuja hapa kutazama vita tu.”
2 Samuel 13:3Basi Amnoni alikuwa na rafiki jina lake Yonadabu mwana wa Shimea, + 13:3 Shimea pia hutamkwa Shama. nduguye Daudi. Yonadabu alikuwa mtu wa hila nyingi sana.
1 Chronicles 27:18kwa Yuda: Elihu, nduguye Daudi; 1 kwa Waisakari: Omri mwana wa Mikaeli; 1