1 Chronicles 2:26
Yerameeli alikuwa na mke mwingine, aliyeitwa Atara, aliyekuwa mama yake Onamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Jerahmeel had also another wife, whose name was Atarah; she was the mother of Onam.
In Context
27Wana wa Ramu mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli walikuwa: 2 Maasi, Yamini na Ekeri. 1