1 Chronicles 21:14
Basi Bwana akatuma tauni katika Israeli, watu 70,000 wa Israeli wakafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So the LORD sent pestilence upon Israel: and there fell of Israel seventy thousand men.
In Context
Cross References
Exodus 12:30Farao, na maafisa wake wote, na Wamisri wote wakaamka usiku, na kulikuwa na kilio kikubwa katika nchi ya Misri, kwa kuwa haikuwepo nyumba ambayo hakufa mtu. 1 Kutoka
Numbers 25:9Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu 24,000.
2 Samuel 24:15Basi Bwana akatuma tauni katika Israeli kuanzia asubuhi mpaka mwisho wa muda ulioamriwa, wakafa watu 70,000 kuanzia Dani hadi Beer-Sheba.
1 Chronicles 27:24Yoabu mwana wa Seruya alianza kuwahesabu watu lakini hakumaliza. Kwa sababu ya kuwahesabu watu, hasira ya Mungu iliwaka juu ya Israeli, nayo hiyo hesabu yao haikuingizwa katika kitabu cha kumbukumbu za Mfalme Daudi. 1 Wasimamizi Wa Mali Za Mfalme