1 Nyakati 23:7
Wana wa Wagershoni walikuwa wawili: 2 Ladani na Shimei. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the Gershonites were, Laadan, and Shimei.
In Context
8Wana wa Ladani walikuwa watatu: 2 Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli. 1
Cross References
Exodus 6:17Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa Libni na Shimei. 1
1 Chronicles 6:17Haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni: 2 Libni na Shimei. 1
1 Chronicles 26:21Wazao wa Ladani, waliokuwa Wagershoni kupitia Ladani na waliokuwa viongozi wa jamaa za Ladani Mgershoni, walikuwa Yehieli,