1 Nyakati 24:25
Ndugu yake Mika: alikuwa Ishia; 2 na kutoka kwa wana wa Ishia: alikuwa Zekaria. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The brother of Michah was Isshiah: of the sons of Isshiah; Zechariah.
In Context
24Mwana wa Uzieli: alikuwa Mika; 2 kutoka kwa wana wa Mika: alikuwa Shamiri. 2
26Wana wa Merari: walikuwa Mahli na Mushi. 2 Mwana wa Yaazia: alikuwa Beno. 1
Cross References
1 Chronicles 15:20Zekaria, Azieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Maaseya na Benaya walikuwa wapiga zeze kufuatana na sauti ya alamothi, + 15:20 Huenda ni aina ya uimbaji.