1 Nyakati 24:29
Kutoka kwa Kishi: mwana wa Kishi: 2 alikuwa Yerameeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Concerning Kish: the son of Kish was Jerahmeel.
In Context
28Kutoka kwa Mahli: alikuwa Eleazari, ambaye hakuwa na wana. 1
30Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao.