The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 25 › 1 Nyakati 25:4

1 Nyakati 25:4

Wana wa Hemani walikuwa: 2 Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli na Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti na Romamti-Ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri na Mahaziothi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Of Heman: the sons of Heman; Bukkiah, Mattaniah, Uzziel, Shebuel, and Jerimoth, Hananiah, Hanani, Eliathah, Giddalti, and Romamti-ezer, Joshbekashah, Mallothi, Hothir, and Mahazioth:

In Context

3Wana wa Yeduthuni walikuwa sita: 2 Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia, na Matithia, nao walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao Yeduthuni, wao walikuwa wakitoa unabii wakitumia vinubi, wakimshukuru na kumtukuza Bwana. 1

5Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.

Read all of 1 Nyakati 25

Cross References

1 Chronicles 15:17Basi Walawi wakawaweka Hemani mwana wa Yoeli; kutoka miongoni mwa ndugu zake, Asafu mwana wa Berekia; kutoka miongoni mwa ndugu zao Wamerari, Ethani mwana wa Kushaiya;

1 Chronicles 16:41Waliohudumu pamoja nao walikuwa Hemani, Yeduthuni na wale wote waliochaguliwa na kutajwa kwa jina kumpa Bwana shukrani, “Kwa maana fadhili zake zadumu milele.”

1 Chronicles 24:24Mwana wa Uzieli: alikuwa Mika; 2 kutoka kwa wana wa Mika: alikuwa Shamiri. 2

1 Chronicles 25:20ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, // wanawe na jamaa zake, 2 12 1

1 Chronicles 25:28ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, // wanawe na jamaa zake, 2 12 1

Psalms 88:1Ee Bwana, Mungu uniokoaye, 2 nimelia mbele zako usiku na mchana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 25:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 25:31 Nyakati 251 Nyakati 25:5 →