1 Nyakati 26:19
Hii ndiyo iliyokuwa migawanyo ya mabawabu waliokuwa wazao wa Kora na wa Merari. 1 Watunza Hazina Na Maafisa Wengine
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These are the divisions of the porters among the sons of Kore, and among the sons of Merari.
In Context
18Kuhusu ukumbi kuelekea magharibi, kulikuwa na wanne barabarani na wawili kwenye ukumbi wenyewe.