1 Nyakati 26:27
Baadhi ya nyara zilizotekwa vitani waliziweka wakfu kwa ajili ya ukarabati wa Hekalu la Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Out of the spoils won in battles did they dedicate to maintain the house of the LORD.
In Context
Cross References
2 Samuel 8:11Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa Bwana, kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu kutoka kwa mataifa yote aliyokuwa ameyashinda:
1 Chronicles 18:11Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa Bwana kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu aliyokuwa ameitwaa katika mataifa yote haya: Edomu na Moabu, Waamoni, Wafilisti na Waamaleki.
Nehemiah 10:32“Tunakubali wajibu wa kutimiza amri za kutoa theluthi ya shekeli + 10:32 Theluthi ya shekeli hapa kama gramu 4. kila mwaka kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu: