bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 27 › 1 Nyakati 27:10
1 Nyakati 27:10
Jemadari wa kikosi cha saba kwa mwezi wa saba alikuwa Helesi Mpeloni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The seventh captain for the seventh month was Helez the Pelonite, of the children of Ephraim: and in his course were twenty and four thousand.
In Context
9Jemadari wa kikosi cha sita kwa mwezi wa sita alikuwa Ira, mwana wa Ikeshi Mtekoa. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1
11Jemadari wa nane kwa mwezi wa nane, alikuwa Sibekai Mhushathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1
Read all of 1 Nyakati 27
Cross References
1 Chronicles 11:27Shamothi Mharori, 2 Helesi Mpeloni, 2
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 27:10