1 Chronicles 29:21
Siku ya pili yake wakamtolea Bwana dhabihu na sadaka za kuteketezwa: mafahali 1,000, kondoo dume 1,000 na wana-kondoo dume 1,000, pamoja na sadaka za kinywaji na sadaka nyingine nyingi sana kwa ajili ya Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 23:13pamoja na sadaka yake ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa + 23:13 Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo mbili. za unga laini uliochanganywa na mafuta, sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto, harufu nzuri ya kupendeza, na sadaka yake ya kinywaji ya robo ya hini + 23:13 Robo ya hini ni sawa na lita moja. ya divai.
Numbers 15:7na theluthi moja ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Vitoe kama harufu nzuri inayompendeza Bwana.
1 Kings 8:62Kisha mfalme na Israeli wote pamoja naye wakatoa dhabihu mbele za Bwana.
Ezra 6:17Kwa ajili ya kuwekwa wakfu nyumba hii ya Mungu walitoa mafahali mia moja, kondoo dume mia mbili, wana-kondoo mia nne, sadaka kwa ajili ya dhambi ya Israeli yote walitoa mbuzi dume kumi na wawili, mmoja kwa ajili ya kila kabila la Israeli.