1 Nyakati 3:24
Wana wa Elioenai walikuwa: 2 Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Wana wa Nearia walikuwa: 2 Elioenai, Hizkia na Azrikamu; jumla yao watatu. 1