The Bible Software
bible.software1 Chronicles1 Chronicles 3 › 1 Chronicles 3:5

1 Chronicles 3:5

nao hawa ndio watoto wa Daudi waliozaliwa huko Yerusalemu: 2 mkewe Bathsheba, binti Amieli, alimzalia Shamua, + 3:5 Sawa na Shimea; maana yake ni Mashuhuri, Maarufu. Shobabu, Nathani na Solomoni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And these were born unto him in Jerusalem; Shimea, and Shobab, and Nathan, and Solomon, four, of Bath-shua the daughter of Ammiel:

In Context

4Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita. Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu,

6Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti,

Read all of 1 Chronicles 3

Cross References

2 Samuel 5:14Haya ndiyo majina ya watoto waliozaliwa kwake huko: Shamua, Shobabu, Nathani, Solomoni,

2 Samuel 11:3naye Daudi akatuma mtu mmoja kuuliza habari za huyo mwanamke. Huyo mtu akamwambia Daudi, “Je, huyu si Bathsheba binti Eliamu, naye ni mke wa Uria, Mhiti?”

2 Samuel 12:24Ndipo Daudi akamfariji Bathsheba mkewe, akaingia kwake akakutana naye kimwili. Akazaa mwana, wakamwita jina lake Solomoni. Bwana alimpenda Solomoni.

1 Chronicles 28:5Miongoni mwa wanangu wote, naye Bwana amenipa wengi, amemchagua Solomoni mwanangu ili kukikalia kiti cha enzi cha ufalme wa Bwana juu ya Israeli.

Luke 3:31Melea alikuwa mwana wa Mena, 1 Mena alikuwa mwana wa Matatha, 1 Matatha alikuwa mwana wa Nathani, 1 Nathani alikuwa mwana wa Daudi, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Chronicles 3:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Chronicles 3:41 Chronicles 31 Chronicles 3:6 →