1 Chronicles 3:9
Hawa wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wana waliozaliwa na masuria. Naye Tamari alikuwa dada yao. 2 Wafalme Wa Yuda 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These were all the sons of David, beside the sons of the concubines, and Tamar their sister.
In Context
8Elishama, Eliada na Elifeleti; wote walikuwa tisa.
Cross References
2 Samuel 13:1Ikawa baada ya hayo, Amnoni mwana wa Daudi akampenda Tamari, umbu lake Absalomu mwana wa Daudi, ambaye alikuwa mzuri wa sura.