1 Nyakati 4:27
Shimei alikuwa na wana kumi na sita, na binti sita, lakini ndugu zake hawakuwa na watoto wengi, hivyo ukoo wao wote haukuwa na watu wengi kama ukoo wa Yuda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Wazao wa Mishma walikuwa: 2 Hamueli aliyemzaa Zakuri, Zakuri akamzaa Shimei.
28Waliishi Beer-Sheba, Molada, Hasar-Shuali,
Cross References
Numbers 2:13Kundi lake lina watu 59,300. 1
Numbers 26:22Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500.