bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 5 › 1 Chronicles 5:21
1 Chronicles 5:21
Walitwaa mifugo ya Wahagari: ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000. Pia wakateka watu 100,000,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they took away their cattle; of their camels fifty thousand, and of sheep two hundred and fifty thousand, and of asses two thousand, and of men an hundred thousand.
In Context
20Walisaidiwa katika kupigana nao, Mungu akawatia Wahagari pamoja na wote walioungana nao mikononi mwao, kwa sababu walimlilia Mungu wakati wa vita. Alijibu maombi yao, kwa sababu walimtegemea.
22na wengine wengi waliuawa kwa sababu vita vilikuwa ni vya Mungu. Nao waliendelea kuikalia nchi hiyo mpaka wakati wa uhamisho. 1 Nusu Ya Kabila La Manase
Read all of 1 Chronicles 5
Cross References
Numbers 31:35na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa.
2 Chronicles 14:15Pia wakashambulia kambi za wachunga makundi ya wanyama wakachukua na kuyaswaga makundi ya kondoo, mbuzi na ngamia. Kisha wakarudi Yerusalemu.
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 5:21