1 Nyakati 6:10
Yohanani akamzaa Azaria (ndiye alifanya kazi ya ukuhani katika Hekalu alilojenga Mfalme Solomoni huko Yerusalemu), 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Ahimaasi akamzaa Azaria, 2 Azaria akamzaa Yohanani, 2
11Azaria akamzaa Amaria, 2 Amaria akamzaa Ahitubu, 2
Cross References
2 Chronicles 3:1Ndipo Solomoni akaanza kujenga Hekalu la Bwana katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo Bwana alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna, + 3:1 Pia anaitwa Ornani kwa Kiebrania. Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi.
2 Chronicles 26:17Azaria kuhani akiwa pamoja na makuhani wengine themanini wa Bwana wenye ujasiri wakamfuata huko ndani.