1 Chronicles 6:21
Zima akamzaa Yoa, 2 Yoa akamzaa Ido, Ido akamzaa Zera, 2 Zera akamzaa Yeatherai. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Joah his son, Iddo his son, Zerah his son, Jeaterai his son.
In Context
20Wazao wa Gershoni: 2 Gershoni akamzaa Libni, Libni akamzaa Yahathi, 2 Yahathi akamzaa Zima,
22Wazao wa Kohathi: 2 Kohathi akamzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Kora, 2 Kora akamzaa Asiri,