1 Nyakati 6:26
Ahimothi akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Sofai, 2 Sofai akamzaa Nahathi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As for Elkanah: the sons of Elkanah; Zophai his son, and Nahath his son,
In Context
25Wazao wa Elikana walikuwa: 2 Amasai na Ahimothi, 2
Cross References
1 Samuel 1:1Kulikuwepo na mtu mmoja kutoka Rama, Msufi kutoka nchi ya vilima vya Efraimu, ambaye jina lake aliitwa Elikana mwana wa Yerohamu, mwana wa Elihu mwana wa Tohu, mwana wa Sufu, Mwefraimu.
1 Chronicles 6:35mwana wa Sufu, mwana wa Elikana, 2 mwana wa Mahathi, mwana wa Amasai, 2