The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 6 › 1 Nyakati 6:29

1 Nyakati 6:29

Wafuatao ndio wazao wa Merari: 2 Merari akamzaa Mahli, Mahli akamzaa Libni, 2 Libni akamzaa Shimei, Shimei akamzaa Uza, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The sons of Merari; Mahli, Libni his son, Shimei his son, Uzza his son,

In Context

28Wana wa Samweli walikuwa: 2 Yoeli mzaliwa wake wa kwanza, 2 na Abiya mwanawe wa pili. 1

30Uza akamzaa Shimea, Shimea akamzaa Hagia, 2 Hagia akamzaa Asaya. 2 Waimbaji Wa Hekalu

Read all of 1 Nyakati 6

Cross References

1 Kings 5:11naye Solomoni akampa Hiramu kori 20,000 + 5:11 Kori 20,000 ni sawa na madebe 240,000. za ngano kama chakula kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, pamoja na mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa bathi 20,000. + 5:11 Bathi 20,000 ni sawa na madebe 200. Solomoni aliendelea kumfanyia Hiramu hivyo mwaka baada ya mwaka.

1 Chronicles 15:17Basi Walawi wakawaweka Hemani mwana wa Yoeli; kutoka miongoni mwa ndugu zake, Asafu mwana wa Berekia; kutoka miongoni mwa ndugu zao Wamerari, Ethani mwana wa Kushaiya;

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 6:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 6:281 Nyakati 61 Nyakati 6:30 →