1 Nyakati 6:54
Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao (walipewa wazao wa Aroni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia): 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
53Ahitubu akamzaa Sadoki, 2 Sadoki akamzaa Ahimaasi.
55Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na sehemu ya malisho inayouzunguka.
Cross References
Genesis 25:16Hawa walikuwa wana wa Ishmaeli na haya ni majina ya viongozi wa makabila kumi na mawili kulingana na makao yao na kambi zao.
Numbers 35:1Bwana akamwambia Mose katika nchi tambarare ya Moabu, kando ya Mto Yordani kuvukia Yeriko,
Joshua 21:3Hivyo kama vile Bwana alivyoamuru, Waisraeli wakawapa Walawi miji ifuatayo pamoja na sehemu zake za malisho kutoka urithi wao wenyewe.