1 Nyakati 6:66
Baadhi ya koo za Wakohathi walipewa kama nchi yao miji kutoka kabila la Efraimu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
65Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu.
67Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri,
Cross References
Joshua 21:20Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka kabila la Efraimu: 1