1 Nyakati 6:68
Yokmeamu, Beth-Horoni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jokmeam with her suburbs, and Beth-horon with her suburbs,
In Context
67Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri,
69Aiyaloni na Gath-Rimoni, pamoja na maeneo yake ya malisho. 1
Cross References
Joshua 16:5Hili ndilo lilikuwa eneo la Efraimu, ukoo kwa ukoo: 1 Mpaka wa urithi wao ulianzia Ataroth-Adari upande wa mashariki hadi Beth-Horoni ya Juu,
1 Samuel 13:18kikosi kingine kilielekea Beth-Horoni, nacho kikosi cha tatu kilielekea kwenye nchi ya mpakani ielekeayo Bonde la Seboimu linalotazamana na jangwa.