1 Nyakati 6:71
Wagershoni walipokea miji ifuatayo pamoja na maeneo yake ya malisho: 1 Katika nusu ya kabila la Manase: 2 walipewa Golani katika Bashani na pia Ashtarothi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
72Kutoka kabila la Isakari 2 walipokea Kedeshi, Daberathi,
Cross References
Deuteronomy 1:4Hii ilikuwa baada ya kumshinda Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala Heshboni, na pia huko Edrei alikuwa amemshinda Ogu mfalme wa Bashani, ambaye alitawala huko Ashtarothi.
Joshua 9:10pia yale yote aliyowatendea wafalme wawili wa Waamori mashariki ya Yordani; huyo Sihoni mfalme wa Heshboni na Ogu mfalme wa Bashani, aliyetawala huko Ashtarothi.
Joshua 21:6Wazao wa Gershoni walipewa miji kumi na mitatu kutoka koo za makabila ya Isakari, Asheri, Naftali na nusu ya Manase huko Bashani.