1 Nyakati 7:17
Mwana wa Ulamu alikuwa: 2 Bedani. 1 Hawa ndio waliokuwa wana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Ulam; Bedan. These were the sons of Gilead, the son of Machir, the son of Manasseh.
In Context
18Dada yake aliyeitwa Hamolekethi aliwazaa Ish-Hodi, Abiezeri na Mahla. 1
Cross References
1 Samuel 12:11Ndipo Bwana akawatuma Yerub-Baali, + 12:11 Yerub-Baali pia aliitwa Gideoni. Baraka, Yefta na Samweli, naye akawaokoa kutoka mikononi mwa adui zenu kila upande, ili ninyi mpate kukaa salama.