1 Chronicles 7:2
Wana wa Tola walikuwa: 2 Uzi, Refaya, Yerieli, Yahmai, Ibsamu na Shemueli waliokuwa viongozi wa jamaa zao. Wakati wa utawala wa Mfalme Daudi, wazao wa Tola walioorodheshwa kama wapiganaji katika ukoo wao walikuwa watu 22,600. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Wana wa Isakari walikuwa: 2 Tola, Pua, Yashubu na Shimroni; wote ni wanne. 1
Cross References
1 Chronicles 21:1Shetani akainuka dhidi ya Israeli na kumshawishi Daudi ahesabu watu wa Israeli.
1 Chronicles 27:23Daudi hakuwahesabu watu waliokuwa chini ya miaka ishirini, kwa sababu Bwana alikuwa ameahidi kuwafanya Israeli kuwa wengi kama nyota za angani.