1 Nyakati 7:24
Beria alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliijenga miji ya Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, pamoja na Uzen-Sheera. 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
(And his daughter was Sherah, who built Beth-horon the nether, and the upper, and Uzzen-sherah.)
In Context
25Beria akamzaa pia Refa, naye Refa akamzaa Reshefu, 2 Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani, 2
Cross References
Joshua 10:10Bwana akawafadhaisha mbele ya Waisraeli, nao wakawashinda kwa ushindi mkuu huko Gibeoni. Israeli wakawafukuza kuelekea njia iendayo Beth-Horoni wakiwaua mpaka kufikia njia iendayo Azeka na Makeda.
Joshua 16:5Hili ndilo lilikuwa eneo la Efraimu, ukoo kwa ukoo: 1 Mpaka wa urithi wao ulianzia Ataroth-Adari upande wa mashariki hadi Beth-Horoni ya Juu,
2 Chronicles 8:5Akajenga tena Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, miji yenye ngome, kuta, malango na makomeo.