1 Nyakati 7:31
Wana wa Beria walikuwa: 2 Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Beriah; Heber, and Malchiel, who is the father of Birzavith.
In Context
30Wana wa Asheri walikuwa: 2 Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. 1
32Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao. 1