1 Nyakati 7:33
Wana wa Yafleti walikuwa: 2 Pasaki, Bimhali na Ashvathi. 2 Hawa walikuwa wana wa Yafleti. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Japhlet; Pasach, and Bimhal, and Ashvath. These are the children of Japhlet.
In Context
32Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao. 1
34Wana wa Shemeri walikuwa: 2 Ahi, Roga, Yehuba na Aramu. 1