bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 7 › 1 Chronicles 7:4
1 Chronicles 7:4
Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu hodari wa vita wapatao 36,000, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And with them, by their generations, after the house of their fathers, were bands of soldiers for war, six and thirty thousand men: for they had many wives and sons.
In Context
3Mwana wa Uzi alikuwa: 2 Izrahia. 1 Wana wa Izrahia walikuwa: 2 Mikaeli, Obadia, Yoeli na Ishia. Wote hawa watano walikuwa wakuu wao.
5Jamaa ya watu waliokuwa wapiganaji hodari kutoka koo zote za Isakari, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, jumla yao walikuwa 87,000. 1 Wana Wa Benyamini 1
Read all of 1 Chronicles 7
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 7:4