1 Nyakati 8:28
Hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao wakuu, kama ilivyoorodheshwa katika koo zao, nao waliishi Yerusalemu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These were heads of the fathers, by their generations, chief men. These dwelt in Jerusalem.
In Context
27Yaareshia, Eliya na Zikri walikuwa wana wa Yerohamu.
29Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. 2 Mke wake aliitwa Maaka.
Cross References
Joshua 15:63Yuda hakuweza kuwafukuza Wayebusi, waliokuwa wakiishi Yerusalemu; hadi leo Wayebusi huishi huko pamoja na watu wa Yuda.
Judges 1:21Hata hivyo, Wabenyamini walishindwa kuwafukuza Wayebusi, waliokuwa wanaishi Yerusalemu; hivyo hadi leo Wayebusi huishi humo pamoja na Wabenyamini.
1 Chronicles 9:3Wale waliotoka Yuda, Benyamini, Efraimu na Manase ambao waliishi Yerusalemu walikuwa: 2 Jamaa Za Yuda 1
1 Chronicles 9:34Hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa za Walawi, wakuu kama walivyoorodheshwa katika koo zao, nao waliishi Yerusalemu. 1 Ukoo Wa Sauli (1 Nyakati 8:29-38) 1
Nehemiah 11:7Kutoka wazao wa Benyamini: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseya, mwana wa Ithieli, mwana wa Yeshaya