The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 8 › 1 Nyakati 8:34

1 Nyakati 8:34

Yonathani akamzaa: 2 Merib-Baali, + 8:34 Merib-Baali maana yake ni Baali na Ashindane naye ( Amu 6:32 ); ni jina lingine la mwana wa Yonathani, Mefiboshethi ambalo nalo maana yake ni Mtu wa Aibu (ona 2Sam 4:4 ). naye Merib-Baali akamzaa Mika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the son of Jonathan was Merib-baal; and Merib-baal begat Micah.

In Context

33Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli, Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali. 1

35Wana wa Mika walikuwa: 2 Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi. 2

Read all of 1 Nyakati 8

Cross References

2 Samuel 9:6Mefiboshethi mwana wa Yonathani, mwana wa Sauli, alipofika kwa Daudi, akainama kumpa mfalme heshima. Daudi akamwita, “Mefiboshethi!” Mefiboshethi akajibu, “Ndimi mtumishi wako.”

2 Samuel 9:12Mefiboshethi alikuwa na mwanawe mdogo aliyeitwa Mika, nao watu wote wa nyumba ya Siba walikuwa watumishi wa Mefiboshethi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 8:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 8:331 Nyakati 81 Nyakati 8:35 →