1 Nyakati 8:36
Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Ahaz begat Jehoadah; and Jehoadah begat Alemeth, and Azmaveth, and Zimri; and Zimri begat Moza,
In Context
35Wana wa Mika walikuwa: 2 Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi. 2
37Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Rafa, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli. 1