1 Wakorintho 1:29
Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
That no flesh should glory in his presence.
In Context
Cross References
Romans 3:19Tunajua kwamba Sheria huwahusu walio chini ya Sheria hiyo, hata hawawezi kuwa na kisingizio chochote, na ulimwengu wote uko chini ya hukumu ya Mungu.
Romans 4:2Kama Abrahamu alikubaliwa kuwa mwadilifu kutokana na matendo yake, basi, anacho kitu cha kujivunia mbele ya Mungu.
1 Corinthians 1:31Basi, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mwenye kutaka kujivuna, basi, na ajivunie kazi ya Bwana.”
1 Corinthians 5:6Majivuno yenu hayafai! Je, hamjui kwamba chachu kidogo huchachusha donge lote la unga?