1 Wakorintho 1:3
Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana wetu Yesu Kristo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Grace be unto you, and peace, from God our Father, and from the Lord Jesus Christ.
In Context
Cross References
2 Corinthians 1:2Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.
1 Peter 1:2Mungu Baba aliwateua ninyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na Roho, mpate kumtii Yesu Kristo na kusafishwa kwa damu yake. Nawatakieni neema na amani tele.