1 Wakorintho 1:7
hata hampungukiwi kipaji chochote cha kiroho mkiwa mnangojea kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
So that ye come behind in no gift; waiting for the coming of our Lord Jesus Christ:
In Context
6kwani, ujumbe juu ya Kristo umethibitishwa ndani yenu,
8Yeye atawaimarisha ninyi mpaka mwisho mpate kuonekana bila hatia Siku ile ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Cross References
Luke 12:36muwe kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka arusini, ili wamfungulie mara atakapobisha hodi.
Romans 8:19Viumbe vyote vinatazamia kwa hamu Mungu awadhihirishe watoto wake.
2 Corinthians 12:13Je, mlipungukiwa nini zaidi kuliko makanisa mengine, isipokuwa tu kwamba mimi kwa upande wangu sikuwasumbueni kupata msaada wenu? Samahani kwa kuwakoseeni haki hiyo!
Colossians 3:4Uzima wenu halisi ni Kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
2 Thessalonians 1:7na kuwapeni nafuu ninyi mnaoteseka, na sisi pia. Atafanya jambo hilo wakati Bwana atakapotokea kutoka mbinguni pamoja na malaika wake na wakuu